endelea na machagulizisitakiiii
Bado?? Maana hii thread naiona mara ya 12 sasa kwa tarehe tofauti tofauti.Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
[emoji23]endelea na machagulizi
Tafadhali wanawake mnaotaKibovu chajitembeza!
Kibovu chajitembeza!
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
umri wa juu Mwisho miaka mingapi? Nimevutiwa na vigezo vyote ila cha weupe duuuh!Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
Mkuu magumegume yote ukiona yanajitembeza humu...Tafadhali wanawake mnaota
futa waume msicheze na hisia za watu wengine tupo commited !
Unaishi wapi ?Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.