Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
mapenzi haya kificho yanapoingia moyoni,mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo,mtu chake
apendacho hakina ila machoni huridhika kuwa nacho japo hakina thamani,.mapenzi hayachagui
kabila
wala rangi wala jina fulani,mkipendana kikweli kuachana ni muhali,mtafanya juu chini ya watu
hamuyajali,ukipenda upende mmoja usichanganye wa pili,mapenzi ni fani na ujuzi hayataki shahada ya
skuli, utamu wa mapenzi hauna mfano unashinda sukari na asali,mapenzi yanataka subra uvumilivu na
kujali,mapenzi hayataki tamaa ubinafsi na idhlali,mpende kikweli uingie moyoni uwe nae kwa hali na
mali,mapenzi ni gharama jitolee usifanye ubakhili,kipendacho moyo hununuliwa japo kwa bei ya
ghali...