mwenye link ya kudownload CDMA WORKSHOP 3 crank

Umbly

Senior Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
118
Reaction score
2
Mwenye link hyo naomba au mwenye software hyo atupie kama ckubwa
 
Nahc utakua umeskia sehem wanaisema,
Ambayo ni cranked!!!??
ngoja 2subili mwenye nayo na mm nione ilvyo
 
anamaana Crack.
ila mi cjawah ona, sa mfano ukiiCrack (Titisielo)utaitumia kwa network gan?
 
hahahaa nikajua muziki wa souljah boy tell em. kumbe crack...
ukichakachua modem ya cdma sasa utaishia kutumia sasatel ambayo hata nje ya dar haipo. hahahaaa

au TTCL Mobile.
 
sidhan kama Crack ya CDMA itakuletea tija hapa bongo.
au umepata kaupenyo ka free? nyetisha raia wale Gb kibao
 
sidhan kama Crack ya CDMA itakuletea tija hapa bongo.
au umepata kaupenyo ka free? nyetisha raia wale Gb kibao


CDMA WORKSHOP si kwaajili ya ku unlock simu au modem za cdma bali inatumika kwaajili software development. kwahiyo tusichambue ni kwanini anahitaji. mwenye link ampe.
 
CDMA WORKSHOP si kwaajili ya ku unlock simu au modem za cdma bali inatumika kwaajili software development. kwahiyo tusichambue ni kwanini anahitaji. mwenye link ampe.

nilishamuwekea link ila hajatoa feedback km zimemfaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…