Crank?
hvyo hvyo mkuu
anamaana Crack.
ila mi cjawah ona, sa mfano ukiiCrack (Titisielo)utaitumia kwa network gan?
Ha ha haaa!!! Hta mimi nimeshangaa.
hahahaa nikajua muziki wa souljah boy tell em. kumbe crack...
ukichakachua modem ya cdma sasa utaishia kutumia sasatel ambayo hata nje ya dar haipo. hahahaaa
au TTCL Mobile.
Mwenye link hyo naomba au mwenye software hyo atupie kama ckubwa
sidhan kama Crack ya CDMA itakuletea tija hapa bongo.
au umepata kaupenyo ka free? nyetisha raia wale Gb kibao
CDMA WORKSHOP si kwaajili ya ku unlock simu au modem za cdma bali inatumika kwaajili software development. kwahiyo tusichambue ni kwanini anahitaji. mwenye link ampe.