Mwenye line ya Tigo pesa na M pesa

Natafuta line za uwakala za Tigo pesa na M pesa bei nipeni isiwe kubbwa
Chukua tahadhari na unachotaka kufanya mkuu, unaweza ukaja kulia kilio ambacho hakijawahi kuliwa na mtu mtu yoyote. Ni bora uende tu ofice husika ukafanye mchakato, ni rahisi sana na wala haina gharama
 
Kwani utaratibu ukoje? Mkuu
 
Back
Top Bottom