Mwenye kupajua hapa aweke like

Aisee nataka nifike hapo kutembelea,
hapo nadhani sio Tanzania hapo....
na kama sio Tanzania umefanya kosa kutuuliza sehemu ambayo hatuijui...
unatakiwa kutuambia hapo ni wapi ndo tukuambie nichi Gani....SWALI LAKO LIKO TOOOO BROAD,
Kukusaidia maswali kama hayo huulizwa kama sehemu yenyewe ni maarufu duniani/Africa...sasa sehemu hata kwenye maajabu haipo unauliza swali la jumla sana...angalau ungeuliza hapo hata nchi gani....barabara inaelekea sehemu gani lakini useme inatoka semu fulani...
unafikiri tunaishi wote Mkuu....
 
maswali ya kawaida sana haya mkuu
 
Barabara ya kupandisha kwenda kilema.. Maua seminary.. Shule yangu kitamboo sana
 
Hapo ni msituni mkuu ambapo Barbara ya lami imepita.
 
Bora mashule yafunguliwe ili mpungue humu mtandaoni .:-@:-@
 
Marangu mtoni kama unaenda Kinyange.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…