Habari zenu wadau wa JF.
Swali langu ni dogo tu kwamba eti mtu aliyesoma bachelor ya information technology(IT) anaweza kusoma engineering yeyote ile anapochukua masters?
Vyuo duniani hupitana lakini kwa ujumla inabidi uwe na degree ya kwanza au equivalent kuweza kufanya masters hasa hapa kwetu Tz. Kuwa na uhakika zaidi check na prospectus ya chuo unachotaka kujoin.