Mwenye kujua tafadhari...!!

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
860
619
Leo katika mabishano ya hapa na pale vijiwen, ikaja mada ya wanawake wanaotumia njia ya haja kubwa kufanya mapenzi na kushndwa kujifungua kwa njia ya kawaida kiasi cha kupelekea wengine kufunguliwa mashitaka....au kuharibu kule mahospitalini......(kujinyea)
........Swali.....??
Je, ikitokea mtu mwenye kufanya hivyo akaacha, labda tuseme alikuwa anafanya michezo hiyo katika umri wa tuseme akiwa 18 au 19 years, kwa sababu tu labda ya misukumo rika (mob pyschology)
Then akaolewa akiwa 25 above...anaweza ikawa ile sehem (njia ya haja kubwa) imerudi hali yake na misuri imerudi kukaza kama kawaida....!??? Na akajifungua salama.....??
 
Tuelimishane.....
 
Mmhh jaman kwa nijuavyo mimi ukishajaribu 2 huo mchezo huwezi kuuacha na pia kujifungua kwa salama ni ngumu em tusubiri wajuzi waje watoe yao
 
Ile misuli ukishatanuka imetanuka sio Kama ya apple. Hata awe na miaka 50 bado madhata atayapata
 
Hiyo inakua imetoka au nkuulize swali je mwanamke akishajifungua mtoto mmoja alafu akakaa mda mrefu asifanye jimai je bikra inarud
 
Haiwezi ikarudi, labda atumie njia ya maombi maana yule aliyemwumba atajua namna gani ya kumrekebisha.
Misuli ya Mku**u ikishajiachia hairudi KAMWE, hata mtu akiacha huo mchezo kwa takribani ya miaka 30, kama misuli yake ameiregeza basi itakuwa vilevile.
Asilimian kubwa mnaowaona wanatengeneza filamu za PORN wale kwanza washafunga uzazi, yaani suala la kuzaa kwake halipo na pia vilevile wale wenyewe sio kusema kwamba kila wakati wanafanya kinyume na maumbile. Wanajua madhara yake ni makubwa sana, kadri ufanyavyo ndivyo misuli inavyozidi kutanuka, na hii misuli sio kwa mwanamke tu ila hata kwa mwanaume.
Mungu hakukosea kuumba UKE, tena akaweka kabisa na vilainishi ndani ya UKE ili kusitiri UUME uingiapo, tusimkosoe Mungu kwa tamaa zetu za kishenzi, tuheshimu uumbaji wake.
 
Mtu akishaharibika ameharibika tu na sina hakika kama anaweza kurudia hali yake ya kawaida. Na madhara ya hilo tendo yapo mengi tu.

Kuhusu mtu kujishindwa kujifungua na hizo bla bla zingine ni Myth wala hakuna ukweli wowote
 
Umeanza vizuri, umeharibu mwishoni, hakuna myth hapo ni ukweli usiopingika, nenda labour ukaone wanaochezea miili yao kinyume wanavyohangaika mkuu
 
Hakuna ushahidi wowote wakitaalamu unaothibitisha hilo. Madhara yanayotajwa ni mengi tu hata ukigoogle utayaona ila sio hilo. Hiyo ni myth na ni sawa kabisa na lile swala la kubemenda mtoto.
 
Umeshawahi kwenda leba?
 
Hakuna ushahidi wowote wakitaalamu unaothibitisha hilo. Madhara yanayotajwa ni mengi tu hata ukigoogle utayaona ila sio hilo. Hiyo ni myth na ni sawa kabisa na lile swala la kubemenda mtoto.

aiseee....acha kuwapotosha wenzako wasiifuate hiyo njia mbaya, hilo jambo ni la kweli wakati mwingine google si majibu ya kila hoja...jaribu au mfanyie majaribio then rudi google kasome tena
 
Sijawaambia wafate njia hiyo na sidhani kama katika huu uzi kuna alie shauri hilo. Ila nimeongea kitu nnachojua. Hilo la kujifungua sio kweli ndio maana haijathibitishwa kisayansi. Yapo madhara mengi tu ambayo wanapaswa wayafahamu ikiwemo kupata magonjwa kirahisi
 
Ndio Ila sio bongo
Nenda bongo sasa, ukashuhudie mwenyewe, tena tunawatafuta nyie mnaowaharibu wake zenu hlf mnatupa taabu kuwazalisha, na wanasema tu hawafichi kitu~aibu kbs, baba na akili zako unafanya mambo ya hovyo, shame on you!, na unasapoti tu huna hata aibu ptuuu!!
 
We una matatizo ya akili.
Hivi umesoma vizuri nilichoandika au unakurupuka? Sasa huko labour niende kwani kuna maonyesho?
Next time Kabla hujaropoka kitu uwe unasoma na kuelewa. We wala hujawahi kuzalisha mtu mana laiti ungekuwa na daktari usingekurupuka kiasi hiki,
 
Kwanza wanaofanya na wanaofanywa huko wote muache mara moja ni chukizo mbele za mwenyezi Mungu.

Kama umeacha kabisa unauhakika, ni vema ukamuona Daktari unayemuamini ili akushauri kitabibu, sio hapa na mimi mwenyeww Dokta.
 
Toa hata maelezo kwa kifupi docta
 
Back
Top Bottom