Mwenye kujua shule nzuri ya watoto 3yrs old na kuendela

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,317
Wapendwa heri ya mwaka mpya,

Nahitaji mwenye kujua shule nzuri ya watoto wadogo kuanzia miaka mitatu maeneo ya Mbezi Beach anijulishe tafadhali.

Asanteni
 
Last edited by a moderator:
Mtoto wa miaka 3 hapaswi kupelekwa shule,huyo bado anahitaji kukaa zaidi na mama yake kuliko waalimu. Kuanza kumtenga na mama yake kwa kisingizio cha kumpeleka shule,huo ni UKATILI km ukatili mwingine dhidi ya watoto. Kaa na mtoto mpaka afikishe miaka 6. Ukimpeleka shule ss hv,atakuja kuwa mjinga zaidi akikua.
 
Mh! mkuu huu utafiti umeufanyia wapi na lini? Nakubaliana na wewe Enzi zetu unakaa nyumbani hadi miaka 7 ndio unaanza darasa la kwanza, huko kijijini hakuna cha nursery wala chekechea.

Kwa nyakati hizi za dijitali na mabadiliko tuliyonayo na michakato ya maisha yetu hilo la kukaa na mama nyumbani linawezekana kweli? Mbona hata asipoenda shule bado hatashinda na mama nyumbani kwa sababu mama atakua kazini muda mwingi. Ni afadhali aende shule kuliko kushinda na dada nyumbani kwa sababu kuna vitu atajifunza huko shule na pia kujichanganya na wenzake.

Shukrani
 
Mkuu Samaritan watu wengi tunapotoka sana ktk malezi ya watoto kipindi hiki. Tatizo ukimpeleka mtoto wa miaka 3 shule,anaanza kuruka stage kwa kufundishwa vitu ambavyo hakupaswa kufundishwa kwa wakati huo. Kuna wazazi wanadhani mtoto akiachwa acheze mitaani eti ataharibika,wakati ukweli huko anajifunza zaidi kuliko ungempeleka shule. Me nna watoto 3 ambao wote hawajasoma chekea. Wote nimewapeleka darasa la kwanza. Na wote wanafanya vizuri sana darasani kuliko waliosoma chekechekea. Mmoja yupo kidato cha 3 na afanya vizuri. Wa pili yupo darasa la 5 na amekuwa mtoto wa 4 kati ya wanafunzi 673. Mwingine yupo darasa 3 huyu tangu darasa la kwanza ni wa kwanza hajawahi kushuka na wote hawasomi hata tuition.
 
Nimefurahishwa sana na maelezo yako na uungwana wa kujikita kwenye hoja. Tatizo linakuja sasa hivi ili motto apokelewe darasa la kwanza, kuna baadhi wanataka tayari awe na msingi kutoka chekechea tena wengine wanaenda mbali kwa kuwatahini/interview. Hayo mambo ndio yanapelekea wazazi wengi kuwasukuma watoto shule.

Unatumia mbinu gani kuhakikisha kile wanachojifunza mtaani (kabla hawajafikia umri wa kuwapeleka shule) kinakidhi matakwa yako na hakiwapotoshi mkuu?

Shukrani.
 
Huo ndo wajibu wetu mkubwa km wazazi kuwajengea uwezo watoto wetu wacheze michezo gani na wacheze na akina nani na kwa nn??
 
Nimekupata vizuri mkuu, na hapo ndio kwenye swali langu kwamba, unawezaje (Mbinu unazotumia) kutimiza hilo jukumu la kujua anacheza nini, na nani, kwanini? Tukizingatia muda mwingi tupo kwenye mihangaiko kazini.

Ubarikiwe
 
Mh! mkuu huu utafiti umeufanyia wapi na lini? Nakubaliana na wewe Enzi zetu unakaa nyumbani hadi miaka 7 ndio unaanza darasa la kwanza, huko kijijini hakuna cha nursery wala chekechea.

Kwa nyakati hizi za dijitali na mabadiliko tuliyonayo na michakato ya maisha yetu hilo la kukaa na mama nyumbani linawezekana kweli? Mbona hata asipoenda shule bado hatashinda na mama nyumbani kwa sababu mama atakua kazini muda mwingi. Ni afadhali aende shule kuliko kushinda na dada nyumbani kwa sababu kuna vitu atajifunza huko shule na pia kujichanganya na wenzake.

Shukrani
umejibu vema mkuu, huo muda anaoshida na dada wa kazi ni hatari sana ni bora aende shule walau ajifunze mawi matatu
 
Mtoto wa miaka 3 hapaswi kupelekwa shule,huyo bado anahitaji kukaa zaidi na mama yake kuliko waalimu. Kuanza kumtenga na mama yake kwa kisingizio cha kumpeleka shule,huo ni UKATILI km ukatili mwingine dhidi ya watoto. Kaa na mtoto mpaka afikishe miaka 6. Ukimpeleka shule ss hv,atakuja kuwa mjinga zaidi akikua.
Sidhani Kama Una Mtt Unayelea, Kwani Maneno Yako Yanatia Shaka Mno!!!! Hivi Ikiwa Mtt Wa Miaka 3 Hapaswi Kwenda Shule,, Akae Tu Home Akichezea Madoli Hadi Miaka 6!!!! Je, Hilo Darasa La Awali Atakuwa Amesoma Lini!!!!!??? Hizo Hesabu Zako Ni Za Miaka Ya 80 Huko!!!
 
Mtoto wa miaka 3 hapaswi kupelekwa shule,huyo bado anahitaji kukaa zaidi na mama yake kuliko waalimu. Kuanza kumtenga na mama yake kwa kisingizio cha kumpeleka shule,huo ni UKATILI km ukatili mwingine dhidi ya watoto. Kaa na mtoto mpaka afikishe miaka 6. Ukimpeleka shule ss hv,atakuja kuwa mjinga zaidi akikua.

Miaka 3 amechelewa. Mtoto anatakiwa kuanza shule akiwa na miaka 2
 
Back
Top Bottom