Mwenye kujua salary scale PCCB anisaidie!!!

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,143
Reaction score
31,275
Post assistant accountant nataka kujua take home ni ngapi?Je kuna some opportunities?Namaanisha fursa?kunaeleweka?Naomba kujuzwa.
 
Ni 327000/= take home, fursa ukikamata linyangumi linatoa rushwa.
 
daa mi nlijua figure zinazoeleweka bana sasa kukamata nyangumi na ass. Accnt vinausiana vipi?
 
duh! mbwembwe zote za kurecommend had vyeti vya dalasa la saba, msahara 300k tu. Ehee vip kuhusu post ya investigation officer
 
daa mi nlijua figure zinazoeleweka bana sasa kukamata nyangumi na ass. Accnt vinausiana vipi?

amu ee.. we njoo tufungue kampuni yetu binafsi...
 
Last edited by a moderator:
Unajadili kiwango cha mshahara, je wewe una lipi la ziada kuleta mabadiliko kwenye taasisi hiyo? shame, NDIO WASOMI WETU HAO, kujadili mshahara kabla ya kufanya kazi
 
dhumuni langu la kusoma ni kutafuta pesa samahani hayo mengine yakwako.Tena kama una njaa katafute msosi ule we baba koma .Nchi ibadili wewe mimi natafuta pesa
 
Aha ha haha ha!!! duuuh maneno yote hayo ya kwake? amu kama unatafuta pesa nione nikupe dili la Masogange
 
Unajadili kiwango cha mshahara, je wewe una lipi la ziada kuleta mabadiliko kwenye taasisi hiyo? shame, NDIO WASOMI WETU HAO, kujadili mshahara kabla ya kufanya kazi

mabdiliko nchi yake peke yake hïi,fanya mabadiliko uku wengine wanakula
 
dhumuni langu la kusoma ni kutafuta pesa samahani hayo mengine yakwako.Tena kama una njaa katafute msosi ule we baba koma .Nchi ibadili wewe mimi natafuta pesa

Asalaaallah!!!!!
 
Haaa haaa dada nimekupenda bureee umeniongezea siku za kuishi.

kuna mijitu inajishaua sana humu wakati yenyewe yananepeana tu huko maofisini hayana lolote zaidi ya kudai per diem afu huku yanajidai kutoa povu.Mwenye uchungu na nchi Nyerere peke yake wengine wote tuliobakia tunatafuta pesa.We Fugwe umesikia?
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah.. we dada u made my morning asee.. ofcoz u gat a point inn.. school for money search.
 
Back
Top Bottom