Babchabi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 1,745
- 777
wakuu kuna rafiki yangu ameniletea ipad mini nimfanyie restore nimemfanyia kwa kutumia itunes ila baada ya ku restart inanambia activate ipad mwenye kuelewa hili anambie nimemuuliza je mkuu hii kitu c cha kuiba eti kanambia hajaiba sasa sijui ananiongopea naomba ushauri wenu kama kutakua na kitu cha hatari kuhusu hili ushauri kwenu tafadhali