snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
Yani una miaka 23 na una x? sasa sisi Wazee tuseme tuna xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx.......
kwa mwendo huu tutakuwa na L
Yani una miaka 23 na una x? sasa sisi Wazee tuseme tuna xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx.......
Hapa zinatakiwa za aje? sasa. alafu ukitaka ku mmention mtu unafanyaje vile...umeanza kuwa nunda enh?AHAHAHHAHHAHAHHA mimi like ur innocense bana!
zile hujambo dada yangu mpendwa!habari za nyumbani?mimi mzima wa afya hofu na mashaka kwako!haya majibu ya aina hii mwachie Asprin .lol!
Je, kuna umuhimu wa kuwasiliana na x wako mara kwa mara (hazipiti siku mbili)ilhali uko kwenye mahusiano na mtu mwingine? Na nini faida na hasara ya kuwasiliana nae?
..mpenzi wako.mpya akiwasiliqna mara kwa mara na x wako utareact vipi? Hilo ndo jibu..............
Je, kuna umuhimu wa kuwasiliana na x wako mara kwa mara (hazipiti siku mbili)ilhali uko kwenye mahusiano na mtu mwingine? Na nini faida na hasara ya kuwasiliana nae?