Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,600
- 1,569
Kwa nini mkuu... Hii sio chai mkuu... We subscribe huu uzi utapata jibuMuwe mnatuletea na vitafunio
Bora mkuu... Maana naambiwa nimetoa chaiSajenti chacha... nakumbuka nilisoma makala yake nikiwa shule ya msingi
Hapana ni storia ya kweli kabisa mkuu.... ila niliisoma nikiwa mdogo sana so sikumbuki vizuri ila jamaa alikuwa ni sajentiBora mkuu... Maana naambiwa nimetoa chai
Habari Wana board?
Nakumbuka miaka ya 2001-2002 nilipata kusoma Jarida la JWTZ.
Kuna Yale majarida yao ambayo nadhani yanatoka Kila baada ya muda Fulani.
Sasa Jarida hilo lilikuwa Na habari ya Afande Chacha ambaye inasemekana alifariki kwa ajali ya gari akiwa kwenye majukumu yake ya kazi.
Lakini maajabu ni kuwa alikaa mochwari kwa muda wa wiki nzima, Na sababu ya mazishi kucheleweshwa ni kuwa kuna ndugu yake alikuwa akisubiriwa Toka nchi za Magharibi..
Kwa ufupi huyu Bwana, maada ya kukaa mochwari kwa muda wa wiki, ikaja kugundulika kuwa hakufa.
Kama kuna mtu anaifahamu hii habari atupe nje ndani ya habari hii...
Karibuni..
Mkuu.. historia inajieleze... Swali lako halina mashiko kwa mtu anayeifahamu hii habari...Hivi jeshi la wakurya ukitaja tu jina afande Chacha si unaweza ukapata maafande wengi wenye jina hilo!!!
Mleta mada huyu ni Chacha yupi unaliyemkusudia, je ni Chacha aliyekuwa afande Lugalo/ Makongo?
Hata hapo Lugalo/ makongo wapo kina Chacha wengi!Hivi jeshi la wakurya ukitaja tu jina afande Chacha si unaweza ukapata maafande wengi wenye jina hilo!!!
Mleta mada huyu ni Chacha yupi unaliyemkusudia, je ni Chacha aliyekuwa afande Lugalo/ Makongo?
Wana the same history?Hata hapo Lugalo/ makongo wapo kina Chacha wengi!
Hapana, na ngumu kuwa hivyo ila unapoweka majina ya kwanza husaidia kuhoji ili kubaini muhusikaWana the same history?
Mkuu... Hapa sitafuti muhusika, ila natafuta mtu anayefahamu hiyo habariHapana, na ngumu kuwa hivyo ila unapoweka majina ya kwanza husaidia kuhoji ili kubaini muhusika
Unaanzisha thread unaogopa vijembe duuuh!Pole!Bora mkuu... Maana naambiwa nimetoa chai