MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,756
- 6,684
Kwamba elimu yake ni ya "hapa na pale"?Wakili uchwara..sijui kama hata anaijua Law School.
Pole sana, nimekuwa nikimsoma sana humu ila nilikuwa mara nyingi natilia shaka uwezo wake.Kuna kipindi huyu jamaa alinipa ushauri kuhusu Jambo fulani ambalo liniweka njia panda na nilikuwa naelekea kufanya maamuzi ambayo yangeniletea majuto baadae.
Asante sana wakili Petro E. Mselewa
mengine ya kisiasa nawaachia
Sio kili wakili mepita Law school, kuna wengine walifanya internship then bar exam n believe me, ni wazuri kuliko hao waliopita, shule ya sheriaWakili uchwara..sijui kama hata anaijua Law School.
Wakili kushindwa kesi haimaanishi ni wakili mbaya. Kesi nyingine anashindaPole sana, nimekuwa nikimsoma sana humu ila nilikuwa mara nyingi natilia shaka uwezo wake.
Kwamba elimu yake ni ya "hapa na pale"?
Aiseeee!! Kweli akutukanae hakuchagulii tusiKuna kipindi humu Ostadh Ritz aliwahi kumtania akimwambia "Wakili sijawahi kuona ukiandika kiingereza humu hata siku moja"
Naomba nitafutiwe post ambayo huyo jamaa kaandika kimombo kama vile mawakili wanavyopendaga
Anatambulika pale udsm kama senior legal officerWakili uchwara..sijui kama hata anaijua Law School.
VutaAnatambulika pale udsm kama senior legal officer
Ova
AiseSasa alishindwa vipi kuona mapungufu kwenye hukumu ile?