Mwenye kujua bei

mchupaMD

Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
9
Reaction score
2
Habari za leo wanajamvi?naomba mwenye kujua bei ya mashine ya kufyatulia matofali ya block na aina zake.nisaidieni tafadhali
 
wanaojua watakuja kukujuza. ila kwa taarifa yako tu TOFALI ndio BLOCK kwahiyo sio MATOFALI YA BLOCK,
 
wanaojua watakuja kukujuza. ila kwa taarifa yako tu TOFALI ndio BLOCK kwahiyo sio MATOFALI YA BLOCK,

Hapana, si kweli. Tofari ni brick ikiwa moja na bricks zikiwa nyingi, zipo za block na zipo za hollow na zipo za self locking na zipo za louver na aina nyingi nyingine.

Usipotoshe watu.

Halafu si "tofali" ni tofari.
 
Haya acha kazi iendelee,
Halafu Faiza unanivutia kweli kwa uelewa wako,hivi hujaachika tu nikuoe?
 
Hapana, si kweli. Tofari ni brick ikiwa moja na bricks zikiwa nyingi, zipo za block na zipo za hollow na zipo za self locking na zipo za louver na aina nyingi nyingine. Usipotoshe watu. Halafu si "tofali" ni tofari.
Je Block kwa Kiswahili inaitwaje?
 
Haya acha kazi iendelee,
Halafu Faiza unanivutia kweli kwa uelewa wako,hivi hujaachika tu nikuoe?

Wewe nishakwambia kiko kijukuu changu ukitimiza masharti:

Kwa mali zao.
Kwa uzuri wao.
Kwa nasaba zao.
Kwa dini zao.
 
Najuwa, utakuwa ni mzima tu au siku hizi na nyie mnalazimika kupunguzwa kwa ajili ya UKIMWI?

Disqualified.

Teh teh teh, siyo mzima long time nimetiwa kilema. Kama ni hilo tu niko qualified, nipe hicho kijukuu najua ni mrembo kama weye.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…