Mwenye kujua bei ya mahindi imefika ngapi

Mwenye kujua bei ya mahindi imefika ngapi

kweeani

Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
79
Reaction score
149
Habari waungwana. Nina stock ya mahindi kama gunia 200.Naomba kujuzwa je zimefika bei gani na je kuna uwezekano yakapanda zaidi.
Nawasilisha
 
Mahindi yatapanda mda sio mrefu!usiwe na haraka!
 
Yatapanda hadi 18000/= kwa Mbeya huko ziwa hadi 30000/= itafika. Chakula hakina shobo.
 
shida ni namna ya kuyafikisha huko unakosema itapanda kwani kwa sasa kuanzia mipaka ya wilayan mpk mikoan masharti magumu sana ya kutoa mahindi
 
Mahindi hayatapanda sana kama miaka mingine. Zambia wamefanya revolution kwenye kilimo, walikua wanategemea mahindi kutoka Sumbawanga lakin kwa sasa wao ndo wauzaji wakubwa wa Mahindi export
 
semeni bei basi Arusha, Dar, Dodoma, Moshi, Kenya
 
Habari waungwana. Nina stock ya mahindi kama gunia 200.Naomba kujuzwa je zimefika bei gani na je kuna uwezekano yakapanda zaidi.
Nawasilisha
Uko wapi na kila gunia kilo ngapi. Niuzie hayo magunia yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom