Mwenye kuitaji HP laptop yenye specs zifuatazo

Mwenye kuitaji HP laptop yenye specs zifuatazo

Livanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
475
Reaction score
157
Nauza laptop ifuatayo
Brand: HP
Model: Probook 6550b
Processor: 2.3GHZ core i5 vpro
Ram: 4Gb
HDD: 250 Gb

Os: Windows 7 Pro SP1
Office: 2010

Price is TZS 500,000/= only interested buyer inbox me.
 
Hiyo ina male serial port? Vipi bei yake na umeshaitumia kipindi gani au bado ni mpya?
 
Bei ni TZS 650,000/=

Yes Male serial port ipo nimeitumia kwa muda wa mwaka mmoja ila bado iko in good condition

Sio kwamba nakuharibia biashara ila kwa hizo specs na muda uliotumia huwez kuiuza hiyo laptop kwa hiyo bei
 
Wala usihofu ndugu ndio sababu kuna soko huria kama bei unaona sio unasema yakwako kama iko within the range biashara inaweza kufanyika pia.
Sio kwamba nakuharibia biashara ila kwa hizo specs na muda uliotumia huwez kuiuza hiyo laptop kwa hiyo bei
 
Nauza laptop ifuatayo
Brand: HP
Model: Probook 6550b
Processor: 2.3GHZ
Ram: 4Gb
HDD: 250 Gb

Os: Windows 7 Pro SP1
Office: 2010

only interested buyer inbox me.

Mkubwa hizi specs hazijakamilika hujata kitu moja muhimu sana processor family, pentium M, dual core, core2 duo, core2 quad, core2 extreme, core i3, i5, i7 au ni Amd series ?????
 
Kwa laki6 na nusu hauuzi hyo laptop..
Ungesema lak4 ungepokea simu za wateja..

Samahani lakin..
 
How did i forget that its processor ni intel core i5
Mkubwa hizi specs hazijakamilika hujata kitu moja muhimu sana processor family, pentium M, dual core, core2 duo, core2 quad, core2 extreme, core i3, i5, i7 au ni Amd series ?????
 
Back
Top Bottom