Mwenye kuijua khurinjani anielimishe tafadhari!

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
761
Reaction score
625
Nimeanza rasmi kutumia tiba mbadala. Ninatafuta vitu vifuatavyo manjano,habatsoda,asali,mdalasini na Khurinjani. Tatizo siijui KHURINJANI!

Ninaomba mwenye picha yake anitumie!

JF imenisaidia sana upande wa tiba mbadala
 
DM nitakuelekeza inapo patikana
 
Nimeanza rasmi kutumia tiba mbadala. Ninatafuta vitu vifuatavyo manjano,habatsoda,asali,mdalasini na Khurinjani. Tatizo siijui KHURINJANI!

Ninaomba mwenye picha yake anitumie!

JF imenisaidia sana upande wa tiba mbadala
Sio khurinjani bali ni Khulinjani.....
KHULINJANI.jpeg
 
Nashukuru kunifahamisha!Nilipata ya unga nikaitumia kama nilivyoelekezwa Ila bado sijapona matatizo ya tumbo
Pole sana huyo aliye kufahamisha hiyo Khulinjani kuwa inatibu maradhi ya tumbo?kwani una vidonda vya tumbo wewe? Nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako.
 
Back
Top Bottom