khaa? kumbe wanapataga mshahara mdogo ivo? ukiwakuta wanavyojishaua apo reception kama wapo BOT vile kumbe maskin tu nfyuu
Yaan acha tu me mwenyewe siamini eti
khaa? kumbe wanapataga mshahara mdogo ivo? ukiwakuta wanavyojishaua apo reception kama wapo BOT vile kumbe maskin tu nfyuu
siwezi kuapply sasa hivi na mimi ili niitwe kwenye interview?
Ukifanya kazi mwez mzima bila kutega wala kuumwa na kupokea simu 180nakuendelea kwa siku na bila kuwa na warnings na talk time iwe 2:30dk bac utajikuta unafikisha laki nne kasoro lakin ukiumwa siku moja tu jua unafikisha 3kasoro nimeacha kaz mwez ulipita full kugandamizwa
Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana...tunapenda sana mishahara mikubwa wakati utendaji wa kazi ni mbovu...
Nani atawapa mishahara wakati huko maofisini muda wote mnawaza kudinyana tu na kuacha kufanya kazi......utawakuta asubuhi ofisini wanabishana mpira kama wapo uwanja wa taifa....yaani zogo kama wapo shimoni kariakoo...Muda wote wanatongozana tu huku ufanisi wa kazi ukiwa zero....ndio maana wageni wanatudharau sana....WATANGANYIKA tubadilike....

wewe ndo mtu wa ajabu una support ushuzi,na kama wa kudharariwa wa kwanza ni wewe,mpira+mapenzi ni sehemu ya maisha.
mshahara mkubwa una motivate mtu kufanya kazi kwa bidii na umakini.wewe unadhani 230 k utafanya nini kwa dar (nauli 400x2=800x30=24000 kwa njia moja,kodi 35000,chakula mchana na chai 3000x30=90000, chakula usiku 2000x30=60000,mawasikiano 500x30=15000,15000 umeme+maji kwa mwezi bado mengineyo kama kuvaa,kuumwa.
Pia mpira,,mapenzi ni sehemu ya maisha.acha
Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana...tunapenda sana mishahara mikubwa wakati utendaji wa kazi ni mbovu...
Nani atawapa mishahara wakati huko maofisini muda wote mnawaza kudinyana tu na kuacha kufanya kazi......utawakuta asubuhi ofisini wanabishana mpira kama wapo uwanja wa taifa....yaani zogo kama wapo shimoni kariakoo...Muda wote wanatongozana tu huku ufanisi wa kazi ukiwa zero....ndio maana wageni wanatudharau sana....WATANGANYIKA tubadilike....
Kama wewe ni mchapakazi na unajituma kazini unastahili mshahara mkubwa na sio miongoni mwa hao niliowazungumzia mimi.........Kama unayafanya hayo ni wewe. Sisi tunapiga mzigo kwa dhati. Mimi nawadharau sana wageni maana they are not real professional.
umenifumbua macho mkuuwewe ndo mtu wa ajabu una support ushuzi,na kama wa kudharariwa wa kwanza ni wewe,mpira+mapenzi ni sehemu ya maisha.
mshahara mkubwa una motivate mtu kufanya kazi kwa bidii na umakini.wewe unadhani 230 k utafanya nini kwa dar (nauli 400x2=800x30=24000 kwa njia moja,kodi 35000,chakula mchana na chai 3000x30=90000, chakula usiku 2000x30=60000,mawasikiano 500x30=15000,15000 umeme+maji kwa mwezi bado mengineyo kama kuvaa,kuumwa.
Pia mpira,,mapenzi ni sehemu ya maisha.acha
Wanavojushaua pale voda mlimani city utafikiri wanakomba mamilioni akipewa na galaxy na mkopo wa voda basi tena kutwaaa anashinda anachati hata wateja anasahau