Mwenye kibwagizo cha mkude simba

Mwenye kibwagizo cha mkude simba

Mjomba Mkude

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
287
Reaction score
119
Wakuu..mwenye vibwagizo vya Mkude simba vinavyosema..
Aloo we mbaya..
Mjini kuna watu wana roho mbaya..naomba avitupie aisee..
 
Nenda yuo tube, alafu nenda kwenye search andika Mkude Simba unaweza pata kichekesho unachokitaka.
 
Wakuu..mwenye vibwagizo vya Mkude simba vinavyosema..
Aloo we mbaya..
Mjini kuna watu wana roho mbaya..naomba avitupie aisee..

Ajaaaliii ukitakaaaa vya babaaaaminnaaaaa ni pm
 
Nenda yuo tube, alafu nenda kwenye search andika Mkude Simba unaweza pata kichekesho unachokitaka.

Nilimskia akisema ss hv anaviuza and so havipatikani hata mitandaoni! Atakaefanikiwa aseme na cc tufuate huko huko!
 
Mi naagawa bure kbisaa ila hapa nilipo netwek 3000:
 
Hahaha...sikuhizi kuna wakila mtoto wa mkude simba ... anachekesha balaaa
 
Wakuu..nimevipata vingi na natumia app flan hiv kukuata vipande ambavyo navipenda..
#Mods unaweza kuifunga hii post
 
Back
Top Bottom