Mwenye IST yenye '4WD'... atupe uzoefu

Mkuu fuel consumption kubwa ya gari hua inategemea vitu hivi acceleration yako i.e kama ule mshale wa acceleration unaendeshea kwenye 3-4 lazima utumie mafuta mengi, fuel filter, oil filter, service ya gari kwaio anza na uendeshaji wako wa gari, fanya service utaona mabadiliko mimi natumia Hilux Surf ya 3000CC ilikua inashinda nyingi na nilikua natumia 4.5km/l sasa hivi nimeirekebisha mambo mengi napata 7.3-7.5km/l mimi nipo mjini kiyoyozi 24/7
ilo surf kama naliona ivi cc 3000! nawaacha kwanza wapite nikianza mosi mosi wanakaah
 
Kwani mkuu hiyo 4WD yake inatumika muda wote? Mi nilidhani ni option kwamba usipoengage, gari inaperform as 2WD .. kama ni hivyo consumption itakua kawaida unless muda ambao utakua umeopt hiyo 4WD

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo siyo 4wd hiyo inaitwa AWD au all wheel drive. 4wd ina option ya ku engage na ki disengage. AWD iko full time engaged

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo nasikia leo uwepo wa IST yenye 4WD....nadhani ni miss conception tu ya watu kuchanganya kati ya 4WD na AWD....four wheel drive na All wheel drive. Pia kuna 6 wheel drive...benz ameitoa hii kwenye G wagon inayozungusha matairi yote sita pale inapohitajika.

Hii yote ni mifumo inayoweza kuifanya gari itumie matairi yote manne kuisukuma...All wheel drive hutumia automation kupeleka nguvu kwenye tairi lililo na traction zaidi..na inasaidia sanabkuzuia slippery kwenye barabara zenye tope. Huu mfumo hauko optinized kwaajili ya offroading.

4WD huu ni mfumo uliokuwa optimized kwaajili ya shughuli za shuruba and extremely off roading. Unatumika tu pale ambapo unahitajika. Ni mfumo unajumuisha tools nyingi ikiwepo Low 4..high 4...rear diff lock..front diff lock au center lock...ni mfumo madhubuti kwenye off roadng na huwezi ukawepo kwenye gari kama IST.
 
Mkuu yangu inaenda 7km/L. Ina wiki mbili tu bongo, shida itakuwa nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nenda tu kwa mafundi wa kuaminika watakuambia shida ni nini....mm si mtaalamu sana lkn kila day nasafir km kama 65 hivi kwenda na kurud kazini.....na huwa naweka mafuta ya 12000 yanatosha.....sasa ukipima kihesabu hspo utaona kabisa inarange km 13 per lita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nenda tu kwa mafundi wa kuaminika watakuambia shida ni nini....mm si mtaalamu sana lkn kila day nasafir km kama 65 hivi kwenda na kurud kazini.....na huwa naweka mafuta ya 12000 yanatosha.....sasa ukipima kihesabu hspo utaona kabisa inarange km 13 per lita

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuu kwa ushauri, nitaufanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio full time mkuu,ina engage inapo sense slip kwa front tires

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa huwa inafungua pale unapokanyaga mafuta mengii au unapokuwa kwenye mlima, mchanga na matope lazima utakanyaga mafuta mengi hvyo itafungua na tair za nyuma, kuna rafiki yangu ana spacio ya AWD ndo maana naelewa ufanyaji kazi wake, hata akiondoa gari kwa mafutamengi unaisikia kabisa inafungua, au akiwa anatembea kawaida halafu akaongeza mafuta mengi ghafla unaisikia kabisa inafungua tairi za nyuma...kuna kamvumo fulani hv unakasikia kwenye tair za nyuma zikipelekewa nguvu. Hvyo huwa hazifanyi kazi muda wote kama wengi wanvyodai, kuna wengine wanamiliki lakini hawajui zinafanyaje kazi wao wanajua zinafanya kazi muda wote, ukiwa mtu wa mafuta mengi kila wakati basi nazo zitafanya kazi muda mwingi.

Ila kama unaendesha kawaida yaan RPM haizid elfu 2500 bac haiwezi kufungua tair za nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Thanks mkuu. Hapo nimekusoma.

Afu hebu nambie, eti full time 4wd inaongeza performance kwenye speeding? Ama haina uhusiano na speeding?

-Kaveli-
Mkuu niliwahi kuendesha Subaru Legacy yenyewe ina AWD ambayo ni sawa na full time 4WD ile gari inakimbia sana mkuu ila kwa haya ma Toyota nadhani inakua na nguvu kwenye pulling tu kama umenasa sehemu..unatumia gari gani mkuu?
 
Ndio namshangaa huyo jamaa! Sasa akipewa 4000cc si atakufa huyu😸😸😸

Usimshangae. Ukimshangaa naye anakushangaa inakuwaje at that age, plus being experienced with life, bado hutambui kuwa maisha ni kama vidole vya mkono wako, hatufanani kistatus wala financially.

Kila mtu na financial capacity yake. That's why wewe hapo pamoja na ugwiji wako wote downtown unaogopa kumiliki gari ya mzungu, na kinachokufanya uiogope ni kwasababu tu financial capacity yako ni ya 'kubahatisha' in pursuant to EU vehicles' maintenance cost. At the same time mtu kama RRONDO anakushangaa inakuwaje ushindwe kumiliki gari ya mzungu?!!

It's a matter of financial status. Maisha ni classes.

-Kaveli-
 
Usimshangae. Ukimshangaa naye anakushangaa inakuwaje at that age, plus being experienced with life, bado hutambui kuwa maisha ni kama vidole vya mkono wako, hatufanani kistatus wala financially.

Kila mtu na financial capacity yake. That's why wewe hapo pamoja na ugwiji wako wote downtown unaogopa kumiliki gari ya mzungu, na kinachokufanya uiogope ni kwasababu financial capacity yako ni ya 'kubahatisha' in pursuant to EU vehicles' maintenance cost. At the same time mtu kama RRONDO anakushangaa inakuwaje ushindwe kumiliki gari ya mzungu?!!

It's a matter of financial status. Maisha ni classes.

-Kaveli-
Wazi kabisa mzee 😀😀😀 ila kuogopa mafuta kwenye economical car kama IST ni jambo lililonishitua zaidi!
 
Wazi kabisa mzee 😀😀😀 ila kuogopa mafuta kwenye economical car kama IST ni jambo lililonishitua zaidi!

How 'economical' is economical to you? It depends on how you fit in.

Juma anaendesha pikipiki sanlg.

Tobby anaendesha gari IST au Passo.

Swali: Kati ya Juma na Tobby, ni yupi mwenye chombo economical?

It depends on how 'economical' is economical to you. Nadhani hivyo.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom