Mwenye info zozote za nyumba ya kupanga Arusha

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
kuna ndugu yangu amehamishiwa kazi Arusha mimi ndo mwenyeji wake ,,but anahitaji nyumba simple ya kupanga fasta mwenye info naomba atujulishe please
 
tunamkaribisha kwa moyo mweupeeee tuangoma, mabwepande na kwa mnyabudu au kwa mtogole kote huko kuna nyumba nzuri za hadhi yake.
 
nenda NJIRO PPF NA AGM,huko ni fasta kwan huko wanapangisha kwa dola
 
Sema mkubwa unataka nyumba maeneo gani?? na ya aina gani,
kuna nymba ipo makao mapya ni self contain laki mbili na nusu kwa mwezi,,kama utakuwa tayari
nikutumie number za simu uongee na mmiliki
 
Thanks mdau No tafadhali
 
Kua more specific! Anataka nyumba ya vyumba vingapi? Self au room moja na maeneo gani? na kama ni room moja usiumize kichwa kwa Mromboo zimejaa kibao!
 
yeye sio wa kukaa kwa mrombooo...nyumba simple ya family self contained
 
kuna ndugu yangu amehamishiwa kazi Arusha mimi ndo mwenyeji wake ,,but anahitaji nyumba simple ya kupanga fasta mwenye info naomba atujulishe please
sema arusha sehemu gani? mm ninajumba langu NGORONGORO CREATER mwezi 4 sasa sijabahatika kupata mpangaji,japo nimetoa discount ya 30%
 
Wee Baba Obama Huko akafate nini nae kazini ni mjini jamani?au ndo majibu madogo kwa swali kubwa ndo haya?
 
kuna vyumba maeneo ya sakina self contained. na jiko,tiles kila kona.wasiliana nami kwa no.0713271023 au 0754961123.chumba cha kulala,sebule na jiko tshs 300,000 per month .
 
Back
Top Bottom