Mwenye gari usipite kigamboni leo

Mwenye gari usipite kigamboni leo

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,408
Reaction score
1,332
Leo Pantoni iko moja tu tena ni ile ndogo na imeamliwa kubeba abiria tu. Wenye magari wametakiwa kupita Kongowe. Bajaj na maguta ruksa
 
Tumejalibu na tumewezaaaa sisiemu mbele kwa mbeleeee wacha waisome namba eeeeeeeeeeee
 
Acha nijidunge windhoek zangu taratibbbb hehehehe, acha mzidi kuisomaaaa nambaaaa kweli ccm mbele kwa mbeleeee hehehehe
 
Wacha wapige mbizi tu.... Hakuna namna
 
Hahaha..! Mkome..! Ccm Mbele kwa mbeleeeeeeee.. , na bado mpaka muisome nambaaa..., hahahah..
 
Leo Pantoni iko moja tu tena ni ile ndogo na imeamliwa kubeba abiria tu. Wenye magari wametakiwa kupita Kongowe. Bajaj na maguta ruksa

Mkuu mbona gari ziliruhusiwa kuvuka. Mie pia nilikuwa nina safari ya kuvuka na nikarejea jioni na kukuta pantoni zote zinapiga mzigo
 
Back
Top Bottom