mwenye gari aina ya caravan changamkia dili hili!

mwenye gari aina ya caravan changamkia dili hili!

nickson1987

Senior Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
191
Reaction score
24
Mwenye gari aina ya caravan yaani hiace niingie nae mkataba kwa siku shs 60,000/= lakini gari liwe automatic then nipigie 0714064767 tuongee
 
Hembi weka wazi hapa,Caravan mfano wa hiace ya kawaida au dungu?
halafu sema ni kazi gani inakwenda kufanya.
Maan hizi gani ni Nissan na zinahitaji umakini sana kwenye matunzo.So,muhim kwanza kujua ni kazi gani inakwenda kufanya.
Then unadhamana gani.
Na mkataba wa muda gani
 
Back
Top Bottom