Mwenye game ya gari lori au Basi au ya ndege

Mwenye game ya gari lori au Basi au ya ndege

Ukitaka la simu, chukua truckers of Europe 3
Hili liko poa, kuna kupeleka mizigo barabara ya vumbi,, unapga gia hatar,,,, vumbiii ,, ikifika chuma chafuuu hatar,,

Liko poa sana hasa kwa phone,, mda wowote unakiwasha hasa wanazi wa malori
 
Back
Top Bottom