kwa nini unataka iliyo hacked,au googleplay wanataka uilipie ? mimi niliidownload store ya windows phone bure kabisa..pia ni game kubwa setup yake ina around 800mb na baada ya kuinstall linadownload files za kama 500mb hivi ili lifae kucheza,sema ni zinga la game.