Mwenye experiance ya kufumaniwa

Mwenye experiance ya kufumaniwa

Bzimana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
554
Reaction score
161
Sijawahi shuhudia mtu kafumaniwa ila nimekuwa nikisikia/kusoma kwenye mtandao, mara nyingi huwa wanapelekwa polisi na kesi kwenda mahakamani, Naomba kufahamu toka kwenu kule mahakamani inakuweje, na adhabu ya yule aliyefumaniwa huwa ni nini?
 
nachowaombeni toka kwenu je? hukumu ya aliyefumaniwa huwa ni miaka mingapi? 1, 2 au 15.?
 
sijawahi shuhudia mtu kafumaniwa ila nimekuwa nikisikia/kusoma kwenye mtandao, mara nyingi huwa wanapelekwa polisi na kesi kwenda mahakamani, Naomba kufahamu toka kwenu kule mahakamani inakuweje, na adhabu ya yule aliyefumaniwa huwa ni nini.?

kwani unampango wa kufumania? Chukua tahadhari na ufanye mission analysis kwanza kwani inataka moyo. Una ubavu mkuu?
 
Wewe! Kufumaniwa sio Criminal offence kwa hapa Tz! Ni Civil case, unless uwe umefumaniwa kwenye nyumba ya huo mwenye mali either ke or me! Or uwe umemtorosha huyo mke wake, or huyo mke awe chini ya miaka 18! Or uwe umefanya na kosa jengine la uhalifu JOINTLY (In same transaction) na hilo fumanizi!
...
Hivyo basi, Mwenye mke/mume atakufungulia kesi ya Madai, ambapo utatakiwa kulipa fidia (unliquidated damages)
...
Ikumbukwe, hata Civil case mtuhumiwa anaweza kuwekwa gerezani (Civil Prison) if umeshindwa kulipa hiyo fidia and if huyo aliekushtaki kataka uwekwe gerezani! But aliekufunga (huyo aliekushtaki) atatakiwa kulipa (sio kukulipa!)
...
Kwamantiki ya maswali yako, inaonesha unacheza na mke wa mtu!
Nakushauri uachane nae, inaweza kheri if atakufunga kuliko uamuzi mwengine atakao uchukua! You never know, kila mtu na hasira zake! Kwa mfano nakushika mimi, sikupeleki poliri ng'o! Usiulize ningekufanyaje!
 
nachowaombeni toka kwenu je? hukumu ya aliyefumaniwa huwa ni miaka mingapi? 1, 2 au 15.?

Ukifumaniwa kimbia fasta kabla hujafanywa asusa...

BgF-60RIAAA8rOp.jpg:large
 
Wewe! Kufumaniwa sio Criminal offence kwa hapa Tz! Ni Civil case, unless uwe umefumaniwa kwenye nyumba ya huo mwenye mali either ke or me! Or uwe umemtorosha huyo mke wake, or huyo mke awe chini ya miaka 18! Or uwe umefanya na kosa jengine la uhalifu JOINTLY (In same transaction) na hilo fumanizi!
...
Hivyo basi, Mwenye mke/mume atakufungulia kesi ya Madai, ambapo utatakiwa kulipa fidia (unliquidated damages)
...
Ikumbukwe, hata Civil case mtuhumiwa anaweza kuwekwa gerezani (Civil Prison) if umeshindwa kulipa hiyo fidia and if huyo aliekushtaki kataka uwekwe gerezani! But aliekufunga (huyo aliekushtaki) atatakiwa kulipa (sio kukulipa!)
...
Kwamantiki ya maswali yako, inaonesha unacheza na mke wa mtu!
Nakushauri uachane nae, inaweza kheri if atakufunga kuliko uamuzi mwengine atakao uchukua! You never know, kila mtu na hasira zake! Kwa mfano nakushika mimi, sikupeleki poliri ng'o! Usiulize ningekufanyaje!

nimekupata, kumbe wanaofumaniwa adhabu yao ni faini, lakini sio kifungo mpaka watashindwa kulipa faini.
 
kamtie mke wa mjeshi yoyot mtaan kwenu ndo utapata jibu la swali lako! na evidenc za kutosha
 
Back
Top Bottom