Nshachoka kuringishiwa miye,
Nimehudhuria pamvu za wenzangu miye,
Nimehudhuria Kitchen party za wenzangu miye,
Nmehudhuria Send off za wenzangu miye,
Nimehudhuria harusi za wenzangu miye,
Nshakuwa mpambe wa maharusi miye,
Sasa nasema basi yatosha a miye mwaka huu wa 2014 ajitokeze mwanaume wa kunitoa kimasomaso!
Usijali shosti utapata tu...
Tena awe mume mumeo,akujali kwenye uzima na maradhi,shida na raha...
Upate watoto wenye kheir nawe watoto wenye afya njema na maarifa waje wakufae utapohitaji msaada wao (uzeeni)...
Hakuna kinachokosekana ukiomba kwa mungu,chaweza chelewa ila huwezi kosa...fanya subra...nami nakuombea dua...
samahani wewe ni brand new, au mtumba? vijana sikieni kilio hiki