Mwenye enzi Mungu nijaalie mwaka huu wa 2014 usije isha na miye niolewe!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
engagement-ring-pf.jpg

Nshachoka kuringishiwa miye,

Nimehudhuria pamvu za wenzangu miye,
Nimehudhuria Kitchen party za wenzangu miye,
Nmehudhuria Send off za wenzangu miye,
Nimehudhuria harusi za wenzangu miye,
Nshakuwa mpambe wa maharusi miye,

Sasa nasema basi yatosha a miye mwaka huu wa 2014 ajitokeze mwanaume wa kunitoa kimasomaso!
 
Mungu akujalie na akupe hja za moyo wako
 
Wachumba wapo hapa banaa....Weka sifa zako za kuwavutia wachumba watarajiwa na kisha weka vigezo unavyohitaji awe navyo mume mtarajiwa.

Last edited by a moderator:
Usijali shosti utapata tu...

Tena awe mume mumeo,akujali kwenye uzima na maradhi,shida na raha...

Upate watoto wenye kheir nawe watoto wenye afya njema na maarifa waje wakufae utapohitaji msaada wao (uzeeni)...

Hakuna kinachokosekana ukiomba kwa mungu,chaweza chelewa ila huwezi kosa...fanya subra...nami nakuombea dua...
 
Nakualika Kwenye Harusi yangu ili uhudhurie harusi nyingine tena mwaka huu.
 
naomba Mungu mwaka huu nami nioe. nimechoka kuhudhuria za wenzangu
 
Usijali shosti utapata tu...

Tena awe mume mumeo,akujali kwenye uzima na maradhi,shida na raha...

Upate watoto wenye kheir nawe watoto wenye afya njema na maarifa waje wakufae utapohitaji msaada wao (uzeeni)...

Hakuna kinachokosekana ukiomba kwa mungu,chaweza chelewa ila huwezi kosa...fanya subra...nami nakuombea dua...

Ameen....
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom