Mwenye devices track aniuzie

Mwenye devices track aniuzie

bigKilaza

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
356
Reaction score
214
Kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata device tracking kwa ajili ya vifaa kama pc, tv. Watu wananibia sana wadau naombeni msaada.
 
Nenda amazon au albaba viko vingi sana bei ndogo tu kuagiza
Huu ndio mtihani kwetu sisi wabongo ambao hatujawahi hata kununua pencil kwa mtandao. Ila Asante ntajifunza kwa hili.
 
Kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata device tracking kwa ajili ya vifaa kama pc, tv. Watu wananibia sana wadau naombeni msaada.
Kwann uibiwe sana?kwann wewe kila siku?ni mazingira gani unaishi?unapenda kujionyesha?ukipata majibu ya hayo maswali hutoibia kila Mara.
 
Huu ndio mtihani kwetu sisi wabongo ambao hatujawahi hata kununua pencil kwa mtandao. Ila Asante ntajifunza kwa hili.
Omba msaada Kwa wawezao watakusaidia sidhani hata elf 20 inafika au omba Kwa yeyote kariakoo aendae China atakuletea
 
Hapana wanaoniibia wananifahamu sana jana wamevunja mlango na kuiba smart tv na mtungi wa gas, kabla ya hapo waliiba simu mbili smart nikiwa nimelala baada ya kurudi kazini saa tisa usiku nikiwa nimechoka.
 
Omba msaada Kwa wawezao watakusaidia sidhani hata elf 20 inafika au omba Kwa yeyote kariakoo aendae China atakuletea

Mfano ni kama hivi
Screenshot_2018-03-17-20-56-26.jpg
 
Okk ngoja kuna rafiki kaenda thailand leo nitamshirikisha kwa hili
 
Back
Top Bottom