Nimeona kiasi mengi na kugundua kuwa ukijua uwezo na upungufu wako uaweza kukabiliana na maisha in a positive and constuctive way. Waarabu, Malaysia, Botswana, Libya na wengineo wa aina hiyo wanalijua hilo, wakawaachia wenye uwezo ( wa akili na kujituma) wakawaachia, maendeleo tunayaona; Tanzania tunajua kuwa vyote hivyo hatuna, rasilimali tumejaliwa kuwa nazo in abundancy, lakini hatuna kiburi cha kuwaachia nafasi wenye uwezo wakafanya kazi ya kuikomboa kutoka kwenye umasikini na kuwa na neema kwa sababu tunang'ang'ania, kisa TUMELAANIWA (ama KUROGWA kwa wanaoamini). Tukiamua na kuwaachia wenye kwa kuwapa nafasi ya kuibadilisha nchi na kuipeleka kwenye asali na maziwa kiukweli, tutajiinua na kuinuliwa. Tuamke Tanzania, tuache kutazamana usoni, kulalamika, kulaumu na kusikitika. I am sorry for my too much words.