naomba mwenye kujua cv ya huyu jamaa au kiwango chake cha elimu maana chuoni kwetu kesho kuna philosophical forum na yeye ndio mzungumzaji mkuu so nlitaka kujua uwezo wake intellectually.!
bora nkamsikilize kwakeli manake he can make me change the way i was think about him.!
Mkuu Rumburia uliza tena hilo swali kwa pitbull asipojibu mie ntampiga tuition na nitadai fee
Chuo Sanaa Bagamoyo na UDSM Arts
Kuna kasoro gani "he can make me change the way i was think about him".!
Kuna kasoro gani "he can make me change the way i was think about him".!
SAHIHI: "HE CAN MAKE ME CHANGE THE WAY I WAS THINKNG ABOUT HIM"
sasa wewe mwl wako wa tense alikuwa nani eti?
unapotumia i am,i was,we are,they are inakubidi uongeze "ing" kwenye verb.
Wanashindwa kutambua kuwa mtu unapoandika sometimes unakuwa na haraka na ile due diligency huwa haipo kuona kuwa kila sentensi imekaa vizuri in all aspectsNyie walimu wa english mna tabu sana. Kosa dogo tu mnaanza kuwatoa watu akili, sipendi hii tabia ya dharau kama mtu kakosea na unataka kumrekebisha sawa, ila sio kumshusha thamani.
sioni haja ya kujudge sentence ya jamaa coz it has written to be spoken not spoken to be written. kaitendea haki function kuu ya language ambayo ni communication, mmemwelewa ndomaana munauliza.sentensi yako ya kiingereza umeiangalia vzr lkn.
Perfect! Tunapita haraka this is an obvious tense mistake. Nadhani naye alipitiwa maana kwa yeyote aliyesoma kiingereza hivyo huwa ni vitu vya msingi wa kiingereza. Asante
mistake and error are allowed in any language. even the native speakers of english do mistakes in their speaking.
Nyie walimu wa english mna tabu sana. Kosa dogo tu mnaanza kuwatoa watu akili, sipendi hii tabia ya dharau kama mtu kakosea na unataka kumrekebisha sawa, ila sio kumshusha thamani.
bora nkamsikilize kwakeli manake he can make me change the way i was think about him.!
can somebody help me with that sentence? am not perfect.!