Tupe ya huyo teja wenu.Makamanda mpo wapi mbona huyu mgombea wa Chadema, Chalinze amuweki CV yake kama yule mama wa Kalenga.
hakuna ubaya ila tuambie kwanza sheria ya uchaguzi inasemaje?? mgombea anatakiwa awe na elimu ya kiwango gani ?? na kanma haitaji kiwango cha elimu wewe elimu yake unaitakia nini mbona lusinde kaishia la nne sisi hatuulizi elimu yake? au wewe unadhani elimu kubwa ndo uongozi bora ? mbona kapuya ni prof lakini amebakia kubaka na kufundisha vijana kuuza sembe??????Kamanda kwani kuna ugomvi kuna ubaya kuomba CV ya mgombea wa Chalinze. Kwanza nawapa pongezi kwa kushinda pingamizi.
mkuu kama maji marefu?huyo jamaa hata mlango wa shule hajui unafananaje
Kamanda, mimi sipo huko kwenye sheria za uchaguzi ni kawaida yetu humu ukumbini kuangalia CV za wagombea majuzi tuliona CV ya dada yetu kule Kalenga tukaijadili ni CV nzuri kwa kweli, siyo vibaya tukiona CV ya huyu mgombea wa Chadema, Chalinze.hakuna ubaya ila tuambie kwanza sheria ya uchaguzi inasemaje?? mgombea anatakiwa awe na elimu ya kiwango gani ?? na kanma haitaji kiwango cha elimu wewe elimu yake unaitakia nini mbona lusinde kaishia la nne sisi hatuulizi elimu yake? au wewe unadhani elimu kubwa ndo uongozi bora ? mbona kapuya ni prof lakini amebakia kubaka na kufundisha vijana kuuza sembe??????
Wanaukumbi.
Kuna utata wa elimu ya mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia Chadema Mathayo Torongey, kuna wengine wanasema kasoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wengine wanasema kasoma Uingereza.
Mwenye CV yake tunaomba atuwekee kama walivyofanya kwa Grace Tendege, mgombea wa Chadema Jimbo la Kalenga.
Ni vizuri tukajua viwango vya elimu vya mgombea kama utaratibu wetu humu JF.
Mimi siyo mwanasiasa kamanda, mimi ni mpiga kura tu.
Makamanda mpo wapi mbona huyu mgombea wa Chadema, Chalinze amuweki CV yake kama yule mama wa Kalenga.
Kamanda, hiyo nayo tutaifungulia uzi wake tumalize kwanza na CV ya Mathayo Torongey.