mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,577
- 11,204
Ninataka kumfahamu mbunge wangu.
Ninachojua amedharirishwa kukaa ofisi moja na February maropes labda yeye angekuwa waziri.
Ninamjua Kama mtu makini, nadhifu anaye simamia anacho kiamini.
Ninajua pia kwa sura na fikra amefanana saana na Patrice Lumumba RIP wa Kongo DRC amefanana saana pia na marcorm X RIP.
Mwanasiasa mchapa kazi ninaye weza kumfananisha na Kangi lugola ambaye kasi yake inamkaribia Deo filikunjombe!
Mwenye CV ya mtu huyu tafadhari!