Mwenye CV ya Luhaga Mpina tafadhali

Mwenye CV ya Luhaga Mpina tafadhali

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,585
Reaction score
11,260
Ninataka kumfahamu mbunge wangu.
Ninachojua amedharirishwa kukaa ofisi moja na February maropes labda yeye angekuwa waziri.
Ninamjua Kama mtu makini, nadhifu anaye simamia anacho kiamini.
Ninajua pia kwa sura na fikra amefanana saana na Patrice Lumumba RIP wa Kongo DRC amefanana saana pia na marcorm X RIP.
Mwanasiasa mchapa kazi ninaye weza kumfananisha na Kangi lugola ambaye kasi yake inamkaribia Deo filikunjombe!
Mwenye CV ya mtu huyu tafadhari!
 
Mbunge wako na kumfananisha na marehemu wote bado huna cv yake? Chukua cv ya Patrice Lumumba Malcom X unganisha ndo cv au unataka iliyoptintiwa?
 
Mbunge wako na kumfananisha na marehemu wote bado huna cv yake? Chukua cv ya Patrice Lumumba Malcom X unganisha ndo cv au unataka iliyoptintiwa?

hahahahahaha
live long hon. mpina
kaka kiza hujui ulisemalo
 
Back
Top Bottom