Ahuweni kidogo Airtel ila wakati wa mwezi mchanga huwa wanaanza ujinga wao.jamani. Hebu ajitokeze mtu aniambie ni mtandao gani hauna matatizo nihamie huko
Kuna uzi wa kuwaponda airtel ukiwasoma wadau unakata tamaaAhuweni kidogo Airtel ila wakati wa mwezi mchanga huwa wanaanza ujinga wao.
Mimi nawatumia bila shida.Kuna uzi wa kuwaponda airtel ukiwasoma wadau unakata tamaa
Zantel😃😃 jamani. Hebu ajitokeze mtu aniambie ni mtandao gani hauna matatizo nihamie huko
Haipo sehemu nyingi. Huku nilipo hata vocha haipatikani. Nahisi ni mtandao wa wanadaslam na zenjiZantel
Natokea dar naenda Arusha njia zima hapa mtandao upo full,vocha pia zinapatikana myb huko ulipo tu.ila ni mtandao poa Sana hauna kuibiana MB Wana ofa zavifulushi bomba mnoo.Haipo sehemu nyingi. Huku nilipo hata vocha haipatikani. Nahisi ni mtandao wa wanadaslam na zenji
Okay, will tryNatokea dar naenda Arusha njia zima hapa mtandao upo full,vocha pia zinapatikana myb huko ulipo tu.ila ni mtandao poa Sana hauna kuibiana MB Wana ofa zavifulushi bomba mnoo.
Zantel ni Tigo. Weka mbali na watotoZantel
Nimeskia hiyo kitu,nawaza kweli tigo wakishaingia mazima wataleta ukilitimba wao.Zantel ni Tigo. Weka mbali na watoto
Wewe ulienda kumkopa. Mimi nina issue za kibiashara. Watendaji wake wanawaibia wananchi wasio na hatia. Isitoshe wewe ulivaa miwani mweusi mithili ya wale wasioelewekaHata mimi nilienda pale makumbusho makao yao makuu lakini sikuweza kumuona waliniambia eti katoka
Wewe ulienda kumkopa. Mimi nina issue za kibiashara. Watendaji wake wanawaibia wananchi wasio na hatia. Isitoshe wewe ulivaa miwani mweusi mithili ya wale wasioeleweka