..Hujaeleweka!!!Anahitaji msaada wa kimawasiliano na uongozi wa chuo tajwa hapo kwenye title.Namba ya simu waliyoi-display kwenye profile yao haipatikani hivyo yeyote mwenye mawasiliano ya namba ya simu tofauti na hiyo waliyoweka kwenye profile yao naomba anitajie nimpe mhusika.
Ahsanteni na kazi njema katika ujenzi wa taifa
Mtumba ni Kitongoji kilichopo Wilaya ya Chamwino na kipo barabarani kama unaelekea Dodoma Mjini kutokea Morogoro. Katika hicho kitongoji Kanisa la Katoliki lina Chuo chake kama sikosesei ni kwa ajili ya Maendeleo ya Jamii.Hili nalo ni libwege.chuo gani cha mtumba?bwege sana
Mtumba ni chuo cha private na cha mda mrefu sana kinachotoa diploma na certificate ya ualimu wa wa shule ya msingi kwa hiyo mtoa taarifa yupo sahihi na anahitaj mawadiliano ya uongozi wa chuo hicho. Kama mtu unakua hujui kitu na huna msaada kwa kilicho ulizwa ni bora kukaa kimya kuliko kutukananaMtumba ni Kitongoji kilichopo Wilaya ya Chamwino na kipo barabarani kama unaelekea Dodoma Mjini kutokea Morogoro. Katika hicho kitongoji Kanisa la Katoliki lina Chuo chake kama sikosesei ni kwa ajili ya Maendeleo ya Jamii.
Ni vibaya kubeza kitu usichokijua, kwa kuwa sote tunafahamu umahiri wa ndugu zetu wakatoliki kwa kujitolea kuendeleza jamii.
0786640935Anahitaji msaada wa kimawasiliano na uongozi wa chuo tajwa hapo kwenye title.Namba ya simu waliyoi-display kwenye profile yao haipatikani hivyo yeyote mwenye mawasiliano ya namba ya simu tofauti na hiyo waliyoweka kwenye profile yao naomba anitajie nimpe mhusika.
Ahsanteni na kazi njema katika ujenzi wa taifa
jamaaa mbona mnamtukana mwenzenu hivyo? yuko sahihi,kuna chuo kinaitwa Mtumba teachers college- kipo dodomaHili nalo ni libwege.chuo gani cha mtumba?bwege sana
Usiropoke bw mdogo. Mtumba ni Chuo na UDOM ni chuo pia.Kwahiyo mnakidharau UDOM kutoka kukiita Chuo Cha Kata sasa mnakiita Chuo Cha Mitumba?
Binaadamu ninyi!!!
Jamaa hakufanya uungwana kabisaMtumba ni chuo cha private na cha mda mrefu sana kinachotoa diploma na certificate ya ualimu wa wa shule ya msingi kwa hiyo mtoa taarifa yupo sahihi na anahitaj mawadiliano ya uongozi wa chuo hicho. Kama mtu unakua hujui kitu na huna msaada kwa kilicho ulizwa ni bora kukaa kimya kuliko kutukanana