Mwenye contacts za chuo cha Mtumba Dodoma

Ntandaba

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
922
Reaction score
1,485
Anahitaji msaada wa kimawasiliano na uongozi wa chuo tajwa hapo kwenye title.Namba ya simu waliyoi-display kwenye profile yao haipatikani hivyo yeyote mwenye mawasiliano ya namba ya simu tofauti na hiyo waliyoweka kwenye profile yao naomba anitajie nimpe mhusika.
Ahsanteni na kazi njema katika ujenzi wa taifa
 
Mie ndio nakisikia. wanajishughulisha na kozi zipi?
 
Anahitaji msaada wa kimawasiliano na uongozi wa chuo tajwa hapo kwenye title.Namba ya simu waliyoi-display kwenye profile yao haipatikani hivyo yeyote mwenye mawasiliano ya namba ya simu tofauti na hiyo waliyoweka kwenye profile yao naomba anitajie nimpe mhusika.
Ahsanteni na kazi njema katika ujenzi wa taifa
..Hujaeleweka!!!
 
Hili nalo ni libwege.chuo gani cha mtumba?bwege sana
Mtumba ni Kitongoji kilichopo Wilaya ya Chamwino na kipo barabarani kama unaelekea Dodoma Mjini kutokea Morogoro. Katika hicho kitongoji Kanisa la Katoliki lina Chuo chake kama sikosesei ni kwa ajili ya Maendeleo ya Jamii.
Ni vibaya kubeza kitu usichokijua, kwa kuwa sote tunafahamu umahiri wa ndugu zetu wakatoliki kwa kujitolea kuendeleza jamii.
 
Mtumba ni chuo cha private na cha mda mrefu sana kinachotoa diploma na certificate ya ualimu wa wa shule ya msingi kwa hiyo mtoa taarifa yupo sahihi na anahitaj mawadiliano ya uongozi wa chuo hicho. Kama mtu unakua hujui kitu na huna msaada kwa kilicho ulizwa ni bora kukaa kimya kuliko kutukanana
 
Japo mitumba inapigwa marufuku na watawala lkn kumbe ni muhimu kwa wakazi wa chamwino. Mleta thread umeeleweka.
 
kuweni serious chuo cha mtumba ? nguo au
 
Anahitaji msaada wa kimawasiliano na uongozi wa chuo tajwa hapo kwenye title.Namba ya simu waliyoi-display kwenye profile yao haipatikani hivyo yeyote mwenye mawasiliano ya namba ya simu tofauti na hiyo waliyoweka kwenye profile yao naomba anitajie nimpe mhusika.
Ahsanteni na kazi njema katika ujenzi wa taifa
0786640935
 
Kwahiyo mnakidharau UDOM kutoka kukiita Chuo Cha Kata sasa mnakiita Chuo Cha Mitumba?

Binaadamu ninyi!!!
 
Sahihisho. Mtumba ni chuo cha ualimu shule za msingi kinachomilikiwa na the Anglican church km km 27 hivi kutokea Dodoma East ward along Dar road
 
usibeze usichokijua!!!, mtumba ni eneo lililoko Dodoma kati ya kijiji cha ihumwa na vikonje na kuna chuo cha ualimu,huyu mdau anaomba contact za mhusika yoyote aliyepo chuoni hapo. sasa kuna watu wanahisi ni chuo cha nguo za mitumba hahaaaaah!!!!!!!!!!!!
 
Mtumba ni chuo cha private na cha mda mrefu sana kinachotoa diploma na certificate ya ualimu wa wa shule ya msingi kwa hiyo mtoa taarifa yupo sahihi na anahitaj mawadiliano ya uongozi wa chuo hicho. Kama mtu unakua hujui kitu na huna msaada kwa kilicho ulizwa ni bora kukaa kimya kuliko kutukanana
Jamaa hakufanya uungwana kabisa
 
Back
Top Bottom