Mwenye connection ya nafasi ya udereva

Mwenye connection ya nafasi ya udereva

paco anthony

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2018
Posts
561
Reaction score
917
Habarini wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale..Mimi ni kijana ninaye chafuta kazi ya udreva ..vyombo ambavyo Nina uzowefu navyo ni pikipiki,gari ndogo mf Noah na zinginezo, roli, bajaji mwenye connection anisaidie sichagui wala sibagui.

Ninauzowefu miaka 7 barabarani nchi zote Africa mashariki nakimbiza ,popote barabarani nakandamiza...ufundi pia upo mwenye kuweza kunisaidia mawasiliano haya hapa
0687354161.

Naishi dar es Salaam.

Asanteni kazi njema
 
Nina nafasi ya potter anayejua kuendesha gari ila ninaposema nina maanisha potter kweli,kazi ni ngumu na ni kusambaza mizigo mizito kutwa nzima, namaanisha 12hrs na mshahara ni 80 kati ya mwezi na 180 mwisho wa mwezi...

Hii kazi inataka mtu imara kweli kweli,wamekimbia tisa ndani ya miezi mitatu.

Wengine akiingia asubuh,jion akitoka kesho arudi na anani block kabisa
 
Nina nafasi ya potter anayejua kuendesha gari ila ninaposema nina maanisha potter kweli,kazi ni ngumu na ni kusambaza mizigo mizito kutwa nzima,namaanisha 12hrs na mshahara ni 80 kati ya mwezi na 180 mwisho wa mwezi....
Mkuu naomba unitafute ...nahitaji hiyo connection
 
Daaaah hii nchi ngumu sana...nipo kitembo hapa getting namba 2 ninasubilia ajira za hapa na pale kuhusu udreva malaa paa mapolisi kama wote wanatukamata wanasema sisi ni wazurulaji....nachoka sana
 
Daaaah hii nchi ngumu sana...nipo kitembo hapa getting namba 2 ninasubilia ajira za hapa na pale kuhusu udreva malaa paa mapolisi kama wote wanatukamata wanasema sisi ni wazurulaji....nachoka sana
yani umekamatwa mchana kweupe....ebu elezea vizuri tujue jinsi ya kukusaidia...!
 
Back
Top Bottom