Mwenye connection ya kazi ya security

Mwenye connection ya kazi ya security

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
877
Reaction score
1,564
Natumai hamjambo, kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nina uzoefu wa kutosha na hii kazi nilishafanya serena hoteli, kiwandani na airport termonal 3 kupitia gardaworld
kwa yeyote atakayeweza kunisaidia ani PM tafadhali
 
Kuna kazi ya kutunza kuku wa mayai mshahara 150k kula na kulala Kwa boss
 
Nicheki mshara 320k ila utanipooza ganji elf30 kama upotiar piga 0614951696
 
Mwingine anaetaka Mshahara 180,000

Dar,kimara
 
Natumai hamjambo, kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nina uzoefu wa kutosha na hii kazi nilishafanya serena hoteli, kiwandani na airport termonal 3 kupitia gardaworld
kwa yeyote atakayeweza kunisaidia ani PM tafadhali
Mshahara wake nasikikia ni elfu 70 kwa kawaida na ukiwa supervisor unakula 150 ,ni kweli?
 
Garda wana mishahara mizuri kwasasa kuliko kampuni nyingi...

Mlinzi wa kawaida analipwa Net pay ya kuanzia 390 hadi 400+... Inategemea lindo lake...

Sitokwambia kuhusu mlinzi aliye kwenye miradi kama bomba la mafuta n.k...

Kule mlinzi analipwa kuliko mwalimu wa sekondari.
 
Garda huwa wanatoa nafasi kuanzia Mwezi gani Mkuu
 
Back
Top Bottom