mwenye abc za hii recruitment agency (empower limited)

BLESSED BOY

Member
Sep 2, 2017
78
70
yeyote mwenye updates za hii recruitment agency (empower limited),,wasije wakawa matapeli wa mjini kama mjuavyo hali ya sasa ya uchumi mtaani sio nzuri sana hasa kwa sisi ambao bado ni wasaka ajira. wameniita kwenye interview baada ya kujisajili kupitia online, pia natakiwa kwenda na tsh 10,000 as a registration fee. kwa yeyote anaewajua anisaidie please
 
wamekuita uende kwenye usaili sawa.. huo usajili ni wanini sijaelewa tafadhari
mkuu sababu walioitoa ni kama ifuatavyo Registration Fee: TZS 10,000 - Please make sure you receive a receipt of
payment

(We charge a registration fee to put you in our database. We will also
provide you with career coaching and will assist through all processes
during your career search)
 
Ujiongeze mkuu wamejiajiri hao nawewe ndo utakuwa bidhaa yao.
 
yeyote mwenye updates za hii recruitment agency (empower limited),,wasije wakawa matapeli wa mjini kama mjuavyo hali ya sasa ya uchumi mtaani sio nzuri sana hasa kwa sisi ambao bado ni wasaka ajira. wameniita kwenye interview baada ya kujisajili kupitia online, pia natakiwa kwenda na tsh 10,000 as a registration fee. kwa yeyote anaewajua anisaidie please
Reg fee ni bure haihitaji pesa. Hao ni matepeli man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walinila msimbazi wangu hadi leo naujutia. Hakuna lolote ni njia tu ya kupiga hela. Ukienda watakupa aptitude test ufanye kisha watakuambia uwe unatembelea website yao kuona kazi walizotangaza kama zinamatch na uhitaji wako uombe. Na most of the time website yao inasumbua kufunguka

kwa iyo mkuu uliishia kupiga iyo aptitude test tu, na interview haukufanya?
 
Tumbavu zao hawa nilienda na uzoefu wa miaka 16 nafanyiwa interview na kabinti fresh graduate tena kalikuwa kanauza simu pale mlinani city! Nilichukia yaani managerial post nahojiwa na fresh graduate.. .

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna dada nakumbuka 2013 ananifanyia interview, maswali anasoma, ukijibu anaangalia kama umepatia.

Nikamwambia bila hiko kitabu unaweza kumfanyia interviet MTU?

Maswali na post husika vilikuwa haviendani, mpaka nikamwambia acheni ubabaishaji, nilitegemea kuwa interviewed na mtu mwenye uelewa na post husika.

Niliondoka kabla interview kuisha. Sema kuna bosi wake alinipigia kuniuliza kwa nini sikumaliza interview, nikamwambia mnatuma graduate wa lugha ku-interview post ya wenye experience.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom