mwenye abc za hii recruitment agency (empower limited)

Kuna dada nakumbuka 2013 ananifanyia interview, maswali anasoma, ukijibu anaangalia kama umepatia.

Nikamwambia bila hiko kitabu unaweza kumfanyia interviet MTU?

Maswali na post husika vilikuwa haviendani, mpaka nikamwambia acheni ubabaishaji, nilitegemea kuwa interviewed na mtu mwenye uelewa na post husika.

Niliondoka kabla interview kuisha. Sema kuna bosi wake alinipigia kuniuliza kwa nini sikumaliza interview, nikamwambia mnatuma graduate wa lugha ku-interview post ya wenye experience.
hatariiiiiiiiiii aisee
 
kwa iyo mkuu uliishia kupiga iyo aptitude test tu, na interview haukufanya?
Nilipiga aptitude test, nikahisi nachakachuliwa sababu yule jamaa aliyetusimamia alinitia mashaka, nikamkomalia akanielekeza room flani niende nisubiri oral interview. Dah apo ndo nilipochoka akili, mwili na roho alikuja mdada huyo kunifanyia interview ana bonge la tatoo kwenye mguu. Nilifanya tu ili mradi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaaa haaaaa Mkuu hawa jamaa kweli ni matapeli
 
Hahahahahaaa...
Nilipigiwa simu siku moja nikafanye interview pale empower.. Zaidi zaidi nikaishia kufukuzwa tu..maana waliniambia sipo siriaz kabisaa wakati wao ndio niliona hawapo siriaz...mara cv yako mbovu...mara kwann hujaja na buku ten ....mara ohhhh!?
Sitomsahau yule dada mwembamba mweusi aisehh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom