Pale patamu unatupia kaung'eng'e.Vijana ndio ngome ya taifa, lakini kupeana uongozi bila ya on job experience tutasikia mengi sana. Hii inaitwa learn on your own utadhani ndio tumetoka kupata uhuru, sina shida na madaraka ya raisi lakini teuzi zingine lazima afutiwe for the sake of effective administration laws and purposeful selection process kwa wafanyakazi wote wa serikari ukitoa executive gov position.
Hawa vijana ni jokes sio makosa yao entirely its just that the entire succession planning is useless.
Yani walimu ndo wamekua wahanga wa maamuzi ya kila anaejiona ana ubavu wa kutawala .Mbona ni walimu tu ndio wanaosakamwa? Walimu mbona wanaonewa sana.
Ila hii ndio itakuwa kete ya kuwafanya kijan wapoteane km ANC.
Sidhan hao walioladhimishwa kulala kweny mwenge watathubutu kuipigia kijan tena.
Hahahah! Usituvunjie misingi ya Baba wa Taifa. Huu ni utamaduni wetu tuliojiwekea tangu enzi za uhuru tulikuwa kwny Mikesha hii muhimu hatukosiKwa nini inalazimu kukesha usiku kucha eti mwenge? Sherehe zikifanyika mchana usiku watu wakalala haiwezekani?
Wengi wamesaidiwa kupata taaluma na kazi kwa utashi tu wa utawala wa wakati huo. " Nistiri nikustiri au kula uliwe"Yani walimu ndo wamekua wahanga wa maamuzi ya kila anaejiona ana ubavu wa kutawala .