Mwenge University College of Education

hostel za watu binafsi et zipo? vipi nazo huwa znajaa uspowah?

Yeah! Usipowahi utaenda kukaa mbali na itakulazmu kutembea umbali mrefu na utakosa discusions mara kwa mara kitu ambacho cha weza kukukost kwenye matokeo yako
 
vp kuhusu kupata joining instruction?
 
vp kuhusu kupata joining instruction?

Joining utatumiwa kwenye postal address ulizojaza pindi unaomba nafasi za vyuo TCU, lakin pia unaweza kuikuta chuon sio mbaya kwani hayo maelezo niliyotoa hapo yatakusaidia sana
 
Mara nyingi mwaka wa kwanza wanapoingia kwenye manispaa ya moshi ukumbana na faini zinazosababishwa na utupaji taka ovyo, jaman kuwen makin mkiingia wa mji wa moshi kwan haurusiwi kudondosha kitu chochote vinginevyo fain ya elfu 50 itakuhusu, alafu usafiri wa kukufikisha mwenge unapanda hiace za kcms ambapo unashukia kituo cha mwisho kinachoitwa ushirika wa neema, kama utakuwa na mizigo na ukafika mjin kabla giza halijaingia gharama za taxi haizid elfu nane ikiwa usiku inaweza fika hadi elfu kumi kwahyo msijedanganywa kwakuwa ni wageni
 
Karibun Mwenge catholic university (mwecau)
 

Asante sana mkuu kwa kunisaidia kuwahabarisha vijana wetu waliochaguliwa kuja MWECAU,

nilikuwa tity kidogo
 
vp kuhusu kupata joining instruction?

Kesho nitakupa jibu kamili kabisa, ila kama alivyoshauri mdau hapo juu, jaribu kucheki address yako uliyoandika tcu,

Nitajitahidi pia niwape gharama za chuo ambazo mnatakiwa kuja nazo ili iwe rahisi kwenu kujiandaa,
 
hostel za watu binafsi et zipo? vipi nazo huwa znajaa uspowah?

Yap zipo, na gharama uwa ni kati ya 30-60 inategemea na uwezo wako na mazingira gani ya nyumba unapenda kuishi, sema kama alivyoshauri mdau hapo juu ni vyema ukawahi mapema ili upate zile zilizokaribu na chuo,
 

teteteeeeee, nimekupa mkuu, ASANTE SANA KAKA,
 
Kwa wale mtakaotaka mawasiliano ya haraka zaidi, unaweza ukanipm nikupe namba ya simu,
 
Kuna yeyote aliyepata joining instruction au admission letter? maana tarehe 27 kesho kutwa ndio siku ya first year kuripoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…