Vipi kuhusu direct cost kwa first year?
Vyuo vingine bhana
Hizo hosteli zinawatosha first year wote, nusu au robo?pia hiyo gharama ya hostel ni ya mwaka au semister?
hiyo laki 3 na 60 ya nn?
Vyuo vingine bhana
Hiki chuo cha wapi tena? Vyuo vya kata bhana.
Kipo Moshi, ni cha tangia 2005 ni miongini ya matawi ya mwanzo ya SAUT japokuwa huwa hakitangazi sana ndo maana hakijulikani ila kwa kanda ya kaskazin wanakijua kwa kuzalisha waalimu wazuri sana we ulizia mtu aliye kanda ya kaskazin atakwambia
Thanks mkuu.Hiyo laki tatu na 60 inaitwa administration fee ambayo ujumuisha pesa za usajili, kitambulisho, uongozi wa wanafunzi, na gharama nyingne nying nishazisahau na lazma uilipe ndo usajiliwe. Kwa wanaochukua koz za sayansi ulipiwa zote hadi hyo admistration fee hivyo urudishiwa pesa zao mwishon mwa semister ya pili ambapo board huwa tayari ilishawalipa ada za wanafunzi
Baridaaa kabisa nimekusoma mkuu naelekea huko asante kwa dondoo!ila sijaluelewa hapo wakati wa tope?
asante...vipi ukichelewa kuriport kama week moja na nusu hivi unaweza kupata hosteli? ni ndan ya sku ngap za kuriport unaweza kupata hostel kama watoka mbali?