Mzee unakunywaga hata Maji maana nikienda huku upo pale upoAisee, hii michango balaa
Hahaha ndio maji huwa nakunywaMzee unakunywaga hata Maji maana nikienda huku upo pale upo
Mtaji ule, anakua nazo mtu anauza....Hivi zile 'traki suti' huwa wananunua au wanapewa bure?