Jaman kesho naanza safar ya kuja mosh ni mara yangu ya kwanza kukanyaga huo mkoa so wenyej kaen mkao wa kupokea mgan but msinitie changu kwasababu nimewaambia mgen. Nitakuja na meridian
Kama hujaanza safar ya kuja jipange ndugu na kama mambo mabaya usiogope sana kama ukiweza ubish unaish tu maana kuna chakula had 1000/=
Malaz hayana suluhu ndugu
Vp huko tuliokuwa tumekosea kufanya application then tupo ile 3rd trial fununu zinasemaje? maana bado wengine nipo njia panda ila ilitupia hapo chaguo langu.msaada plz
Vp huko tuliokuwa tumekosea kufanya application then tupo ile 3rd trial fununu zinasemaje? maana bado wengine nipo njia panda ila ilitupia hapo chaguo langu.msaada plz