Mwenge nako kulikoni?

Hao Jamaa walianza kutwangana tangu jana jioni. Taarifa ya Habari ya jana saa mbili usiku iliripoti habari hizi
Naona ni muendelezo tu wa kutoana ngeu kwa kwenda Mbele kama ilivyo kawaida yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…