Mwendokasi wa Bangladesh

Mwendokasi wa Bangladesh

 
 
Ile nchi ni ya hovyo bongo irudi shule.
 
Population ya 174m sio mchezo
Na njaa na umasikini unaletwa na Rushwa

Yaani karibu ya mara tatu yetu
Sijui hii style wao ndio waliianzisha au India 😄

Mimi miaka ya nyuma nilikuwa nawaona vibaka tu ndio wanapanda juu kujificha au wasiokuwa na nauli
 
Back
Top Bottom