johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,528
Naomba ufafanuzi kama Huduma ya mwendokasi Ruti ya Mwenge - Shekilango bado ipo
Ahsante kwa ushirikiano
Ahsante kwa ushirikiano
Naomba ufafanuzi kama Huduma ya mwendokasi Ruti ya Mwenge - Shekilango bado ipo
Ahsante kwa ushirikiano
ImoKwani hiyo ruti ya Mwenge ipo kwenye ILANI ya CCM.
Kwani Mama anasemaje.